Credit:http://www.williammalecela.com
Taja
wasichana wote wa Bongo Movies wanaotamba Tanzania, usipoliweka jina la
Wema Sepetu orodha haijakamilika. Wema Sepetu ni supastaa asiyefutika
kwenye vichwa vya habari vya magazeti ya udaku na websites/blogs.
Mfahamu zaidi kwa undani leo anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa
katika mahojiano haya aliyoyafanya na Bongo5 kwaajili ya jarida la
Mzuka.Kwenu mko wangapi na wewe ndio mtoto wa mwisho?
Kwetu sisi tuko wanne na mimi ndio mtoto wa mwisho, nina dada watatu. Wa kwanza na wa tatu wako Marekani, wa pili yupo hapa hapa, ameolewa ana familia yake. Wa kwanza yuko kule anafanya kazi ana mtoto mmoja. Wa tatu yuko kule anasoma na anafanya kazi
Miaka mitano kabla ya mwaka 2006, Wema alikuwa ni msichana wa aina gani?
Wema alikuwa ni msichana wa kawaida. Wakati ule ulikuwa ukiniuliza unataka kuwa nani ukikua ningekujibu nataka kuwa air hostess sababu dreams zangu zilikuwa ni kuwa air hostess, sijawahi kufikiria kabisa kuingia kwenye fame. Though nilikuwa nawaangalia watu kama Ray C, K-Lynn, Kwasababu mimi nilikuwa nasoma academic na shuleni kwetu nakumbuka tulikuwa tukitoka ile home time kulikuwa na duka fulani hivi la mpemba tunaenda tunakula sambusa nini, so magari yatapita nini and we would see Ray C and everybody will go like ‘you see Ray C’ you know, kwahiyo we go crazy over superstars na watu famous.

Kiukweli I never so myself kuwa katika this position ambayo niko. Kwahiyo nilikuwa tu msichana ambaye sina ndoto za kuwa star lakini nilikuwa tu nawashangaa masupastaa. My dad amekuwa anapenda sana mashindano ya Miss Tanzania and kila mwaka alikuwa anamake sure kwamba amenunua tiketi ya kwenda kuangalia Miss Tanzania.
So nakumbuka ilikuwa ni mwaka wa akina Sylvia Bahame tumekaa nyumbani amekosa tiketi. Akakaa akasema ‘kumbe ukiwa umekaa nyumbani ndio unaenjoy vizuri kuliko hata kwenda pale’ akasema ‘one day nawish one of my beauties hata kama hatoshinda, nikilipia tiketi naenda nikijua kabisa nimeenda kumlipia binti yangu.
So
sikukiweka kichwani hicho kitu lakini after kuingia katika whatever na
nini, so siku nimekaa na dad nikamwambia ‘dad unakumbuka kuna siku
ulisema hivi’ akasema ‘yes I remember’ . Hata Mange Kimambi alivyokuja
kuniapproach, alivyoniona Sleep Way akaniambia kwamba anataka niingie
katika mashindano, nikamwambia kwamba mimi nina wazazi wangu, siwezi
nikaamua tu mimi mwenyewe na mimi nakaa na wazazi, so nilivyoongea na
mama akasema ‘ongea na baba yako’ nikampigia simu baba alikuwa kipindi
hicho Dodoma, akaniambia ‘fanya my beauty nitakusupport’, hakuthink
twice alinipa go ahead kabisa.
Kabla ya Miss Tanzania, ni watu wachache sana waliokuwa wakimfahamu Wema Sepetu, ni vipi Miss Tanzania ilibadilisha maisha yako hasa kutokana na watu kuanza kufuatilia maisha yako na chochote unachofanya?
Ni kitu ambacho nilikipata bado nina umri mdogo and nilikuwa sijajiandaa, nilikuwa naichukulia tu poa this whole issue ya kuwa kwenye spotlight. Nilikuwa sidhani kama itakuwa vile kwasababu kama wanavyosema experience ni bora uexperience mwenyewe usione kwa wenzako so nilivyokuwa naichukulia ni tofauti na ilivyokuja kuwa kwasababu mimi nilikuwa naichukulia tu ‘kuwa star raha’ umeenda watu wamekushangaa nini lakini nilivyokuwa nimeingia sana katika ile spotlight nikasema kumbe ooh my God it’s this hard.
Kwahiyo ikawa ni kitu kilichonipa wakati mgumu sana kukizoea like mpaka sasa hivi naweza kusema kwamba ile umetoka kila mtu kakuangalia nini, it’s not an easy task, yaani haizoeleki hiyo hali yaani kila siku unazidi kuiona mpya kwasababu there is no place unaweza ukaenda ukawa na privacy yako, yaani upende usipende lazima utakuwa ni attention kwa watu, lazima watu watakuangalia. Sometimes natamani tu na mimi niwe Wema lakini huwezi sababu all eyes on you. And a lot of times as a normal human being kuna time unahisi you just be yourself lakini inakuwa ni time chache chache sana. The only place where I can be myself is in my room and in my house, out of my gate you cannot be yourself.
Kuna wakati wowote uliwahi kujuta maisha ya ustaa baada ya kuwa Miss Tanzania?
Yes, nimewahi kujuta lakini mwisho wa siku huwaga nasema kwamba mwenyezi Mungu ndio anapanga kwasababu kama mwenyezi Mungu ndio amenipangia hivi nisingefika hapa kwanza, kwahiyo regrets zinatokea kwa kila mtu, lakini siwezi kusema kwamba zimetoka kwa mara nyingi, labda mara moja mara mbili na zinatokea pale tatizo linapotokea, hauwezi ukapata regrets kama hakuna tatizo.
Ukiwa staa kila mtu atataka awe rafiki yako, na kabla ya kuwa Miss Tanzania ni wazi ulikuwa na marafiki uliokuwa ukihang out nao hapa na pale, uliendelea kuwa na urafiki nao, ama baada ya kuingia maisha hayo ikakuwia vigumu kuwa nao tena pamoja?
Nina marafiki mpaka sasa ninahangout nao wanakuja mpaka nyumbani lakini hatushei sana zile common interests kama zamani because once upon a time tulikuwa tuko wote on the same rank. So nilivyokuwa nipo kwenye spotlight obvious nimekutana na watu wengine wapya watu ambao naonana nao katika kazi zangu za kila siku, because apart from being Miss Tanzania, I am also an actress, kwahiyo nakutana na wasanii wengine ambao labda nakaa nao kwa muda mrefu sana kwahiyo utajikuta tu unashare nao common interests sababu unafanya nao kazi pamoja.
Ulikuwa na boyfriend tayari?
Yes nilikuwa naye
Kuna wakati wowote aliwahi kujihisi inferior kutokana wewe kuwa maarufu? Ulifanyaje kumweka sawa?
Well, si unajua zile za kishuleshule, zile za kitoto naweza kusema. Sana sana ukishafika ile o-level nini utakuwa na yule boyfriend ambaye unaamka tu asubuhi umeshavaa unasema sasa hivi naenda kuonana na boyfriend wangu, ukisharudi kutoka shuleni from there nyumbani, no boyfriend. Yeah nilikuwa naye, in the beginning alivyojua kwamba nashiriki Miss Dar Indian Ocean akaniambia kwamba ‘ukishiriki mimi nisahau, sitaweza kuwa na wewe tena’, nikamwambia, why? Akaniambia ‘utakuwa upo kwenye public’ nikamwambia ‘okay fine’, nikamdanganya kwamba sishiriki.
So siku moja gazeti la Mwananchi pale katikati kulikuwa na picha yangu kubwa ‘Miss Dar Indian Ocean kushindana kesho’ and lile gazeti kuanzia naingia shuleni naingia kila mtu ananiambia ameniona kwenye gazeti. So kitu cha kwanza nikafikiria ‘Mungu wangu yule mtu akiliona’ so sikuonana naye the whole day.
Nikiwa nyumbani ndio nikamuona anakuja kalishikilia, nikawa namsikiliza. Akaniambia, ‘nimeona gazeti lako and ndio hivyo kwahiyo umeshanidhihirishia kwamba umechagua hiyo issue, so fine we endelea’. Basi nikajaribisha kuongea naye lakini hakuweza kunisikiliza lakini luckily the next day wakati ndio nashiriki nimekaa pale time ya kujibu swali namuona pale anapiga picha kwahiyo he was there na alinisupport mpaka nilipofika Miss Tanzania lakini after that sababu nilikuwa ambassador wa Vodacom nikawa nafanya kazi Vodacom nikawa sionani naye vile kama kawaida, kila akinipigia simu nipo busy, yeye mwenyewe akasema tu ‘bwana mimi siwezi’. Basi tulielewana vizuri na mpaka kesho tunaongea, tunasalimiana’
Uwewahi kusema bila Kanumba usingeingia kwenye movies, marehemu alikuwa ana mchango gani kwako?

Nakumbuka
nilipokutana na marehemu nilikuwa niko na dada yangu mimi nilikuwa
nakaa na dada yangu, kwasababu once nilishawahi kuishi na mama yangu and
then from there unajua baada ya kuingia kwenye nini nini nikawa busy.
Dada yangu mimi kaolewa lakini kwa dada yangu nilikawa nahisi kama pako
free zaidi, kwamba mama ukirudi ‘umetoka wapi sijui nini na nini hivyo,
alikuwa haelewi. So ikabidi tu nianze kuishi na dada yangu.
Kwahiyo
dada yangu akawa ananielewa, kwasababu hayupo sana protective kama mama.
Siku hiyo tunabadilisha seating arrangement ya pale nyumbani kwa dada
yangu tukawa tunatafuta carpet like different furnitures, so tukawa
tumeenda hapa kulikuwa na hili duka kubwa hivi la Mwanamboka kulikuwa
kuna furniture center, Pentagon, so tukawa tumeenda pale wakati tunaenda
tulimkuta Kanumba wapo nje wameweka makamera yao nini ,wanashoot Lost
Twins. So sisi tumeingia tunaona tu makamera, tumepark gari tumeingia
ndani tunaangalia furniture. Akatokea Maya tukasalimiana akaniambia, ‘
jamani nakupenda’ na mimi nikamwambia na mimi napenda unavyoigiza’ nini
na nini.
Tukatoka nje tukakutana tena na Maya akaniambia ‘jamani jamani kama unaweza pita kidogo tu hata uonekane, hata usalimie’.
Nikamwambia
siwezi kwasababu nipo kwenye mkataba, akina Uncle Hashimu wataniua
wakiniona nimefanya kazi au nimetokea kwenye nini bila kuwaconsult so
akaniambia ‘basi sawa tuachie namba yako’. Wakati ananiambia tuachie
nambo yako, Kanumba huyo anapita, ‘Kaka kaka ngoja umemuona Wema?’
Aliniringia sana.
‘Mambo’ nikamwambia ‘fresh vipi’ ‘safi’ nikamwambia
poa,’Kaka basi chukua namba yake ya simu tunaweza baadaye like tunaweza
tukamtumia kwenye movies’, ,Kanumba akamwambia achukue simu yake ndani.
Basi nikamwangalia mimi mwenyewe basi ndio ninamwona mara ya kwanza,
‘Hee Kanumba’, kwasababu nimeangalia sana michezo yao.
Basi, so baada ya hapo akaleta akachukua namba yangu akanibeep nikamsave, basi mimi nikaondoka zangu. Sijafika mbali naona namba inanipigia ambayo nimeisave vilevile Steven Kanumba, nikapokea ‘Hello’ akaniambia ‘vipi, safi Kanumba hapa’ nikamwambia ‘namba yako nimeisave’ ‘haya basi sawa basi baadae’ nikamwambia ‘poa’.

Mara like jioni jioni hivi akaanza
kunitext ‘mambo’ ‘Safi’ ‘vipi uko wapi?. Basi kila siku tukawa
tumejengeana tabia ya kutextiana kila siku tunandelea for one weak
tunatext mara yeye ataniuliza umekula nini, mara sijui nini, obvious kwa
mwanamke unakua tu unajua kwamba mwanaume akiwa ana interest na wewe.
Kidogo tukaanza kuulizana una boyfriend una girlfriend sijui nini,
hivyo. Akaniambia mimi ‘nipo kambini Lamada’ akanielekeza nikafika.
Basi
nimefika siku hiyo tumekaa pale garden akaniambia ananipenda na nini,
hivyo. Kipindi hicho nilikuwa sina boyfriend nilikuwa very very single,
so nikamdanganya nikamwambia ‘mimi na boyfriend wangu sijui nini’
akaniambia ‘naomba tu just like nifikirie basi’ Nakumbuka tulivyokuwa
tunaondoka ndo tukakiss, it was our first kiss. Basi nikaondoka,
akaniambia ‘unaweza kurudi tena nikamwambia siwezi akaniambia please,
please naomba urudi tena unikiss’ nikamwambia ‘sawa’ basi nikarudi then
akaniambia ‘l love you, love you too, mapenzi yakaanza.
Basi kwenye
mapenzi yetu ndo akaniambia like ‘nataka kuact movies na wewe’
nikamwambia ‘mimi siwezi kuact’ akaniambia ‘mimi nahisi unaweza kuact
hujajua tu’ nikamwabia sijawai kufikiria kuact, akaniambia ‘unaweza
kulia’, nikamwambia ‘nilie nina sababu gani ya kulia’ akaniambia ‘basi
kama huwezi kulia tutakumenyea vitunguu, ‘vitunguu ukimenya si unalia,
basi tutakuwa tuna kumenyea vitunguu’ .
Akaniambia niende kuonana na
bosi wake. Nilivyofika tu ofisini nikaonana na Mtitu Game. Akanipa
script akaniambia nikasome kama story akaniambia ‘wakati unasoma uwe
unasoma sana concentrate kwenye Dina. Basi vile tukiwa tukikutana
tunafanya mazoezi nini, akaniambia ‘sawa basi wewe you are ready to
shoot. Nilivyo shoot movie yangu kwanza, hauwezi amini, I just felt
yaani kwanza niliona iko very easy. Kwa wengine wanaona it’s hard
unajua.
Baada ya hapo ndo nilikuwa tayari nimetoa taji, I had to go
back to school. Nikasafiri nikaelekea Malaysia kufanya kozi yangu ya
mwaka ya International Business, wakati niko Malaysia nikatumiwa movie
yangu ya Point of No Return. Tumekaa tunaangalia na marafiki zangu
nikaona kwamba kumbe it’s nice, it’s fun. Nikampigia simu, ‘narudi for
likizo soon naomba uniandalie script nataka ni shoot movie nyingine’
Nimerudi
kweli ndo tukashoot Red Valentine, Family Tears, White Maria yaani
tukashoot movie movie nyingi hivi so from there nikawa nimeshajikuta
katika movie, so that why I keep saying kwamba without him nisingejua.
Hebu
tuzungumzie uhusiano wako na Diamond ambao katika mahusiano yako yote
ndio ulioandikwa zaidi kwenye magazeti, unakumbuka mlikutana wapi?
Mi
na Diamond tuliwahi kukutana mara moja tu Billcanaz na hatukuwahi
kusalimiana kabla ya kuanza uhusiano lakini tulikuwa tunaangalia sana,
so nakumbuka alikuwa yupo smoking room kwahiyo tukawa tumepeana migongo,
nilikuwa na rafiki zangu wawili. Nikamuona akaniona yeye alikuwa na
rafiki yake, hatujasaliamija hatujafanya chochote mimi nimechukua
vinywaji tukatoka nje na marafiki zangu tumesimama hapo nje nikawa
naambiwa ‘yule ndio ameimba Kamwambie’ kipindi hicho nilikuwa namuona wa
ajabu sana ila tu alijiseksisha kiasi fulani (kicheko kirefu).
Kipindi hicho mimi nilikuwa natoka na Chaz Baba so nakumbuka hiyo ndio ilikuwa the first and last day tumeonana. Mimi nikasafiri nikaenda Marekani, nilipofika kipindi hicho Kamwambie ndio ilikuwa hot na Mbagala ndio karelease. Dada zangu walikuwa wanampenda sana Diamond yaani just from the songs. Dada yangu wa kwanza ana miaka 14 yupo Marekani na hajawahi kurudi Bongo toka aondoke kwahiyo alikuwa anaona Bongo inafanya vizuri sasa hivi akaniuliza kama tuna urafiki na Diamond nikasema sio sana tunajuana tu.
Akaniambia nimwambia aende Marekani kufanya show sababu kila party tuliyokuwa tunaenda lazima watapiga Kamwambie halafu kila mtu anaipenda. So watu wakaanza kuniambia like ‘hebu find contact naye huku kuna mapromoter aje kufanya show’na kipindi hicho Profesa ndio alikuwa amekuja nikamwambia basi sawa mi nitamtafuta.

Nikamwabia Da Rehema, Ray C anitafutie
contact zake. So siku moja nikaona anaplan kwenda kufanya show London,
nika mclick Diamond Platnumz nikamtext, nikamwambia ‘hey mambo vp mzima
upo London’ akaniambia ‘No mamie sipo London sijui ni nini’ nikamwabia
‘anyways Wema hapa nipo Marekani halafu it happens una fans wengi,
akaniambia basi sawa acha nimalize issue ya London halafu nitakuambia.
Basi
tukajenga tu mazoea tukawa tunachat nini yaani ikawa yeye anaingia
Facebook kuchat na mimi naingia kuchat naye, washkaji tu yaani. Akawa
ananiambia ‘bado uko na Chaz na nini’ nikamwambia yeah nipo na Chaz.
Sasa ilikuwa ni kama mwezi wa nane wa tisa kama sikosei. Mimi wakati
nipo Marekani nilikuwa naambiwa sana news kuhusu Chaz, mara Chaz sijui
yupo na mwanamke gani, hiyo hiyo Facebook watu wananitumia mpaka picha
nikumuuliza anakataa.
Sasa mimi nakumbuka dada yangu alikuwa
anampenda sana Chaz so siku ya siku amekutana naye yupo sijui na
mwanamke gani alipoaniambia nikasema, basi. So nikajikuta namuelezea
matatizo Diamond. Siku niliyoamua kabisa mimi and Chaz are done
nikamwambia mimi siwezi. So tukawa tunawasiliana na Naseeb hivyo. Siku
moja tukanuniana, alikuwa amealikwa Ikulu halafu nikawa namtext hajibu,
nikimpigia simu hapokei akaja akatoka akanipigia simu nikawa sijibu.
Akanitumia meseji ‘baby I am sorry, we ndio faraja yangu sijui ni nini….
I LOVE YOU. Sikuona kitu kingine chochote nikaona tu hiyo. Basi nami
nikamjibu sawa nimekusamehe lakini sijakusamehe sana, nimekusame kidogo.
Akaniambia ‘niambie kitu kizuri’ na mimi nikamwambia I LOVE YOU. Basi
akaniambia ‘mwenzio nakupenda, nachanganyikiwa’ basi no mapenzi yakaanza
hapo.So niliporudi kutoka Marekani mimi na Naseeb tukaanza kuishi
pamoja.
Mwaka
jana alipooenda kutumbuiza kwenye Big Brother Africa, alidai kuwa
ameweza kuongea Kiingereza kwasababu yako, ulikuwa ukimfundisha ama
ulikuwa ukipenda kumuongelesha Kiingereza zaidi?
Yes. Naseeb alikuwa
hajui Kiingereza, alikuwa anajua cha juu juu. Ila mimi na Naseeb tumekaa
pamoja mwaka mzima kama mke na mume. So mimi nilivyo kidogo nimetupia
Kiingereza kwahiyo hiyo ilikuwa inampa tabu kwenye the first two months
kwahiyo most of the times nikawa naongea naye Kiingereza. Lakini he is
smart, Naseeb is very smart yaani akiwa haelewi kitu ‘hivi baby hapa
kwenye has na have unafanya nini, hapa natumia tense gani? Niweke ing
niweke nini?’ mwisho wa siku nikajikuta like tunatumia most of the time
kufundishana. Akisema kitu ambacho sicho namwambia ‘usije ukarudia tena
kusema hivyo mbele za watu watakucheka’. So akajikuta tu anaweza.
Kwanini mliachana?
Mimi na Naseeb tuliachana baada ya yeye kunicheat na Jokate .Nilikuwa sijui and maisha yangu yote tangia nimeanza mapenzi na Naseeb naweza kusema kuwa sikuwahi kuwa unfaithful. I used to be very faithful to him na tulikuwa tunapendana sana. With Naseeb nilikuwa nimesharidhika na maisha ambayo niko nayo na hata kama yalikuwa not good, whatever lakini tayari nilikuwa nipo satisfied with me and him nilikuwa tayari nimesharidhika naye.

Nadhani pia inacost
mwanaume akishajua kwamba anakutawala in one way or another so labda ni
shetani au ni ibilisi alimuingilia baada ya kutaka kuanza kushoot video
ya Mawazo ndo rumors zilianza, nikawa siamini kwanza. Siku moja ndio
nikapigiwa simu na rafiki yangu anafanya kazi Piccolo akaniambia
‘Diamond yuko hapa na Jokate na wanakiss’. Nilitoka, nikachukua taxi
nikaenda mpaka Piccolo, kitu cha kwanza niliona gari yake. Nilivyofika
nikawakuta sijui wamewekeana miguu. Nilivyofika pale nikawasalimia
wakawa wako kimya na nimeona ile kitu nikawaaga nikaondoka zangu.
Nikaliaaaa, amerudi wakati huo bado tunaishi pamoja akanikutana napanga
nguo, hakutaka kuongea sikutaka kuongea, tukachuniana, sikulala mimi na
Naseeb kitandani for one week. Anaiona ile hali lakini hataki kuanza.
Nikachoka, nikaja tu siku nimepanga nguo zangu nikaenda kwa dada yangu
ndio ikawa kimoja. Basi mimi nikamwacha CREDIT : BONGO5