Sunday, May 04, 2014

HIZI NDIZO TUZO 7 KILI MUSIC AWARDS 2014 ALIZOONDOKA NAZO DIAMOND PLATNUMZ NA WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC NI HAWA

Credit:jestina-george.com


Diamond Platnumz akipokea mojawapo ya tuzo zake kutoka kwa baby wake, Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye'.
Msanii wa kizazi kipya, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platinumz leo May 3, 2014 amedhihirisha kuwa yeye ni msanii mkali kwa kuchukua tuzo saba katika Tuzo za Kilimanjaro 2014 (KTMA).

Diamond amejinyakulia tuzo:

Msanii Bora wa Kiume,
Video Bora ya Mwaka.
Mtumbuizaji bora wa Muziki wa Kiume.
Wimbo Bora wa Afro Pop.
Wimbo Bora wa Mwaka.
Mtunzi Bora wa mwaka Kizazi Kipya.
Wimbo Bora wa Kushirikisha/Kushirikiana.

Hakika Diamond ameonyesha ukali wake, na kuonyesha kuwa yeye ni bora zaidi na anapendwa na watu.
Damond akikumbatiana na mpenzi wake Wema kabla ya kukabidhiwa tuzo.
Diamond akiwa na mojawapo ya tuzo zake.
Mshindi wa tuzo saba (7) za Kilimanjaro Music Awards, Diamond Platnumz akiwa katika pozi na mpenzi wake Wema Sepetu.

WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC NI HAWA:


1. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA TANZANIA - Bora Mchawi, Dar Bongo Massive

2. MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKA - Young Killer Msanii Bora Chipukizi Anayeibuka, Young Killer akiwashukuru mashabiki baada ya kutwaa tuzo.

3. WIMBO BORA WA ZOUK - Yahaya, Lady Jaydee

4. WIMBO BORA WA AFRO POP - Number One, Diamond Platnumz

5. WIMBO BORA WA RAGGA / DANCEHALL - Nishai Chibwa Ft Juru

6. WIMBO BORA WA RAGGAE - Niwe na wewe, Dabo

7.WIMBO BORA WA TAARAB - Wasiwasi wako, Mzee Yusuf

8. KIKUNDI CHA MWAKA CHA TAARAB - Jahazi Modern Taarab

9. MWIMBAJI BORA WA KIKE  TAARAB - Isha Ramadhani

10. MWIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB - Mzee Yusuf

11. WIMBO BORA WA KISWAHILI BENDI - Ushamba mzigo, Mashujaa Band

12. MWIMBAJI BORA WA KIKE BENDI - Luiza Mbutu

13. MWIMBAJI BORA WA KIUME BENDI - Jose Mara

14. RAPA BORA WA MWAKA BENDI - Furguson

15. BENDI YA MWAKA - Mashujaa Band

16. MWIMBAJI BORA WA KIKE, KIZAZI KIPYA - Lady Jaydee

17. MWIMBAJI BORA WA KIUME, KIZAZI KIPYA - Diamond

18. KIKUNDI CHA MWAKA CHA KIZAZI KIPYA - Weusi

19. WIMBO BORA WA RNB - Closer, Vanessa Mdee

20. WIMBO BORA WA HIP HOP - Nje ya Box, Nick wa Pili Ft Joh Makini & Gnako

21. MSANII BORA WA HIP HOP - Fid Q

22. WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHA / KUSHIRIKIANA - Muziki Gani, Nay wa Mitego ft Diamond

23. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI - Tubonge, Jose Chameleone

24. MTUNZI BORA WA MWAKA TAARAB - Mzee Yusuf

25. MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI - Christian Bella

26. MTUNZI BORA WA MWAKA KIZAZI KIPYA - Diamond

27. MTUNZI BORA WA MWAKA HIP HOP - Fid Q

28. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA, TAARAB - Enrico

29. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA, BENDI - Amoroso

30. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA, KIZAZI KIPYA - Man Water, Combination Sound

31. HALL OF FAME, INDIVIDUAL - Hassan BItchuka

32. HALL OF FAME, INSTITUTION - Masoud Masoud

33. VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA - Number One, Diamond

34.WIMBO WA MWAKA - Number One. Diamond

35. MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE WA MUZIKI - Isha Ramadhani


36. MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME WA MUZIKI - Diamond

Hawa ndiyo waliopata tuzo majina na category zao yapo hapa - KTMA2014

Credit:millardayo.com
kilimanjaroUsiku wa Mei 3 ni usiku uliokuwa ukitolewa tuzo mbalimbali kwa wanamuziki waliofanya vizuri mwaka 2013/2014 huku usiku huu ukitawaliwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wanamuziki wa Tanzania,hawa ni washindi waliofanikiwa kupata tuzo 2013/2014 kwenye category mbalimbali.
Katika Mtiririko huu wa Washindi Diamond Plutnumz ameweka historia nyingine mpya baada ya kuchukua jumla ya tuzo 7,cheki hapa chini.
Screenshot_2014-05-04-09-33-23
Screenshot_2014-05-04-09-33-05
Screenshot_2014-05-04-09-32-50
Screenshot_2014-05-04-09-32-35
Screenshot_2014-05-04-09-32-22
Screenshot_2014-05-04-09-31-03
Screenshot_2014-05-04-09-31-19
Screenshot_2014-05-04-09-31-38
Screenshot_2014-05-04-09-31-52
Screenshot_2014-05-04-09-32-07
Screenshot_2014-05-04-09-25-57
Screenshot_2014-05-04-09-28-01
Screenshot_2014-05-04-09-29-05
Screenshot_2014-05-04-09-28-14
Screenshot_2014-05-04-09-28-27
`Screenshot_2014-05-04-09-29-18
Screenshot_2014-05-04-09-30-22
Screenshot_2014-05-04-09-30-38
Screenshot_2014-05-04-09-29-03
Screenshot_2014-05-04-09-28-51
Screenshot_2014-05-04-09-26-18
Screenshot_2014-05-04-09-26-37
Screenshot_2014-05-04-09-26-55
Screenshot_2014-05-04-09-27-31
Screenshot_2014-05-04-09-23-46
Screenshot_2014-05-04-09-24-09
Screenshot_2014-05-04-09-24-20
Screenshot_2014-05-04-09-21-56
Screenshot_2014-05-04-09-22-33
Screenshot_2014-05-04-09-24-43
Screenshot_2014-05-04-09-24-57
Screenshot_2014-05-04-09-23-33

LIVE TOKA MLIMANI CITY: WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC NI HAWA



Msanii Bora Chipukizi Anayeibuka, Young Killer akiwashukuru mashabiki baada ya kutwaa tuzo.
1. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA TANZANIA - Bora Mchawi, Dar Bongo Massive
 2. MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKA - Young Killer 
 3. WIMBO BORA WA ZOUK - Yahaya, Lady Jaydee
 4. WIMBO BORA WA AFRO POP - Number One, Diamond Platnumz
 5. WIMBO BORA WA RAGGA / DANCEHALL - Nishai Chibwa Ft Juru
 6. WIMBO BORA WA RAGGAE - Niwe na wewe, Dabo
 7.WIMBO BORA WA TAARAB - Wasiwasi wako, Mzee Yusuf
 8. KIKUNDI CHA MWAKA CHA TAARAB - Jahazi Modern Taarab
 9. MWIMBAJI BORA WA KIKE  TAARAB - Isha Ramadhani
 10. MWIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB - Mzee Yusuf
11. WIMBO BORA WA KISWAHILI BENDI - Ushamba mzigo, Mashujaa Band
12. MWIMBAJI BORA WA KIKE BENDI - Luiza Mbutu
13. MWIMBAJI BORA WA KIUME BENDI - Jose Mara
14. RAPA BORA WA MWAKA BENDI - Furguson
15. BENDI YA MWAKA - Mashujaa Band
16. MWIMBAJI BORA WA KIKE KIZAZI KIPYA -  Lady Jaydee