Credit:http://www.williammalecela.com
MWIGIZAJI Bongo
Movies, Husna Idd ‘Sajent’ amewashangaza waalikwa baada ya kutinga na
kivazi cha klabu kwenye kitchen party katika Ukumbi wa Mawela, Sinza
jijini Dar.
Mwigizaji Bongo Movies, Husna Idd ‘Sajent’ (kushoto) akiwa na Shilole.
Sajent alipoingia ukumbini aliwafanya watu wote kumgeukia huku baadhi wakihoji namna ambavyo wazazi wa biharusi watamtathmini.
Hata hivyo, mwenyewe hakujali
kwani aliingia ameongozana na msanii mwenzake, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye
walishikana kama mtu na matroni wake.
No comments:
Post a Comment