CV
ya Diamond katika muziki inazidi kupanda na mwaka huu unaweza kutajwa
kuwa mwaka wa tuzo kwa mwimbaji huyo ambaye amevuka mipaka na kuzinyakua
au hata kutajwa tu kuziwania
.Wimbo
wa My Number One wa Diamond umeshinda tuzo ya Wimbo Bora wa Afrika
Mashariki katika tuzo za Burundi zinazojukana kama TTM Awards.
“Asante
sana kwa Media wadau na Mashabiki zangu pendwa kwa kuifanya Number One
kuwa Nyimbo Bora ya East Africa ya Mwaka kwenye tunzo za #TTTMAwards
nchini Burundi.....” Ameandika Diamond kwenye Instagram akiambatanisha
na picha ya mtu aliyempokelea tuzo hiyo.
NA TIMES FM
No comments:
Post a Comment