Wednesday, August 13, 2014

MENINAH AKANUSHA UVUMI WA KUWA NA MAHUSIANO NA DIAMOND.


Stori ambayo Soudy Brown amei amplify kupitia You heard ya leo Aug 12 ni kuhusu uhusiano wa Diamond Platnumz na Meninah ambye inasemekana wanatoka kimapenzi, Soudy Brown kaongea na Meninah.

No comments:

Post a Comment