Wakati huohuo Habari zaidi zinasema kutokana na ajali hiyo, waziri wa usafiri nchini humo Mohamed Rashid el-Matin amejiuzulu kuonesha uwajibikaji baada ya ajali hiyo ambayo serikali ndiyo inalaumiwa kutokana na kuwa na miundo mbinu mibovu ikikumbukwa ajali kubwa ya treni mwaka 2002 ambapo watu 360 walikufa baada ya treni kuwaka moto.
Rais wa nchi hiyo Mohamed Morsi amemtaka waziri mkuu Hesham Gandil kutoa msaada wowote wa lazima utakaohitajika na kuwatibu waliojeruhiwa na kuahidi kuwaadhibu wale wote waliosababisha ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment