Hatua hiyo ilifuatia hoja ya Mbunge Vita Kawawa wa jimbo la Namtumbo(CCM) aliyeomba Mwongozo wa Spika, akitaka jambo hili lijadiliwe na Bunge na Kamati za Bunge zinazotuhumiwa kwa rushwa zivunjwe, hoja ambayo iliungwa mkono na spika huyo na kuvunja kamati hiyo.
Habari za fununu kutoka Dodoma zimeeleza kuwa katika mlolongo huo wapo pia wabunge wanaotoka katika Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, na wengine kutoka Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma.
Wabunge waliochangia waliomba uchunguzi zaidi ufanyike na hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi ya watuhumiwa.
Wabunge waliochangia waliomba uchunguzi zaidi ufanyike na hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi ya watuhumiwa.
No comments:
Post a Comment